Asili Yetu © All rights reserved
Haya ni matunda aina ya matikitimaji ambayo huwa na maji mengi. Matunda haya hulimwa katika sehemu zenye maji ya kutosha na husitawi sana katika sehemu zenye rutuba. Fahamu umuhimu wa matunda haya kwa kula mara kwa mara.
Mananasi ni matunda matamu sana yanayolimwa sehemu mbali mbali hapa tanzania, nivyema kama huna mazoea ya kula matunda haya, ukaanza leo, utapata afya bora.


No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA