Asili Yetu © All rights reserved
PICHA HII NIMEIKUTA FACEBOOK NA HAYA NI MAONI KUTOKA FACEBOOK.
LeRoy Deo Kimolo
Subscribe · August 3, 2011
The new world order all the way around us....Welcome!! — With
Mwita Ayubu, Rolland Robert Jr., Simon Chacha and Raphael Kimaro.
· · Share
Innocent Kitauka
likes this.
6 of 7
Eng
Multitalented Matucha
JA! na yule
mnyama awafanya watu wakubwa kwa wadogo waisujudu ile sanamu.... ( kumbuka
sanamu= Kitu bandia, Kusujudu=Kutii, kuabudu, heshimu kwa kiwango cha uungu),
..... wakati 777 ni lama ya ukamilifu, 666 ni alama ya upotevu.....
kuataku...See More
August 3, 2011
at 11:10am · · 1
Eng
Multitalented Matucha Anayoheri yule afuaye Nguo zake kwa damu ya Kristo wakti
huu kabla ya Mlango wa Rehema kufunga..ataokolewa kwa Imani, maana huu ndio
wokovu aliotushindia Yesu Kristo. Mioye yao haitayeyuka pale Mnyama
atakapofanya uasherati na sanamu bali watasubiri kwani masihi yu karibu kurudi
August 3, 2011
at 11:13am ·
LeRoy Deo
Kimolo kaZi ni kwako.
August 3, 2011
at 11:39am ·
Eng Multitalented Matucha hahahahah!
LeRoy kAZi ni kwao! hhahahaha!
August 3, 2011
at 11:41am · · 1
Innocent
Kitauka @soft daa kaka uko vzr umeyajuaje hayo yote? unaweza kunipa na maandko
4m the book revelation kutilia uzto hayo maelezo?
August 3, 2011
at 3:34pm ·
Alhaj Emanuel
Estomihi acheni mambo yenu ya kutengeneza story Independence Day July 4, 1776,
ya USA pia ni mwaka huo huo sasa illuminati
August 17,
2011 at 10:48am ·

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA