Header Ads

Breaking News
recent

RANGI NZURI ZA NYUMBA HUTEGEMEANA NA RANGI ZA VYOMBO VILIVYOKO NDANI.

Asili Yetu © All rights reserved

Hizi ni baadhi ya nyumba za kisasa, zinazo- designiwa na watu wenye taaluma ya kutambua aina za rangi katika sehemu mbali mbali. Taaluma ya ku- design kwa sasa imeanza kupewa kipaumbele hapa kwetu Tanzania, tofauti na kipindi cha nyuma watu wamekuwa wakishindwa waziweke nyumba zao katika muonekano upi.

Wapo wataalamu wa kutoa ushauri wa jinsi ya kupangilia vitu na rangi zake ndani ya nyumba, ukitaka nyumba yako ipendeze na ionekane ya kisasa basi fanya maamuzi leo, hata ikiwa sii mpya utapewa ushauri safi na nyumba yako itaonekana poa kabisa.



No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.