FILAMU MPYA YA KANUMBA NA JACKLINE WOLPER "NDOA YANGU" KUINGIA SOKONI MWEZI HUU, 2012.
Asili Yetu © All rights reserved
Kipenzi cha wengi marehemu Steven Kanumba ataendelea kukumbukwa na mashabiki wake kutkana na kazi zake zinazoendelea kumwagika sokoni.
Filamu mpya Kanumba na Jackline Wolper inayokwenda kwa jina la "NDOA YANGU" ikombioni kuingizwa sokoni mwezi huu.
Kampuni ya Steps Intertainment ambayo ndio inayohusika na usambazaji wa kazi za filamu Tanzania ndio itasambaza filamu hii mpya na yakwanza kutoka kwa Kanumba tokea akutwe na umauti mwaka huu.
Kama wewe ni mpenzi wa filamu za Steven Kanumba , basi kuwa tayari kuchukua kopi yako kuanzia tarehe 28 septemba, 2012 itakuwa tayari sokoni.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA