NYONYO ZAMUUMBUA MSANII BABY MADAHA STEJINI.
Asili Yetu © All rights reserved
STAA ‘seksi’ wa filamu na muziki wa Bongo Fleva, Baby Joseph
Madaha amejikuta akiumbuka mbele ya mashabiki wake baada ya matiti a.k.a nido
zake kuchomoza na kuonekana hadharani akiwa jukwaani na kusababisha midume
yenye ukame kumzengea.
Tukio hilo la aibu isiyo na kipimo lilishuhudiwa na
mwanahabari wetu usiku wa kuamkia Septemba 17, mwaka huu kwenye Uwanja wa
Jamhuri mjini Morogoro ambako kulikuwa na tamasha kubwa la Serengeti Fiesta
2012.
Baby Madaha alifanya kioja hicho baada ya kutakiwa kupanda
jukwaani kuimba na Juma Kassim ‘Nature’ ambaye wameshirikiana katika moja ya
nyimbo zake.
Bila hiyana, Baby alipanda stejini kwa mbwembwe na kujikuta
akimwaga ‘lazi’ kwa kuonesha matiti au chakula ya mtoto hadharani na
kusababisha umati uliokuwa umefurika uwanjani hapo kulipuka kwa shangwe huku
mwanadada huyo akiendeleza libeneke la shoo kali.
Baada ya kushuka jukwaani ndipo bidada huyo alipovamiwa na
wanaume wakware ambao wakambonyeza ‘Kizenji’ hadi alipookolewa na mabaunsa na
kupelekwa nyuma ya jukwaa.



No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA