DIAMOND AIBIWA VITU KIBAO NA MASHABIKI WAKE, ABAKIZWA NA SURUALI YENYEWE.
Asili Yetu © All rights reserved
ICON namba moja wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnumz’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukombwa kila kitu na mashabiki wake na kubaki na suruali na boksa pekee.
Tukio hilo lililoshuhudiwa na shuhuda wetu lilitokea kwenye
Uwanja wa Jamhuri, Dodoma hivi karibuni ambapo kulikuwa na Tamasha la Serengeti Fiesta 2012.
Shukrani kwa mabausa ambao waliwahi kumuokoa kwani mashabiki
hao walikuwa wakimvuta kila upande, hivyo kuwa na uwezekano wa kujeruhiwa.



No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA