Rais Jakaya Kikwete amelihutubia taifa katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi wa nane ambapo amezungumzia kwa kina mgogoro wa mpaka kati ya Tanzania na Malawi katika ziwa Nyansa upande wa Tanzania.
RAIS JAKAYA KIKWETE AZUNGUMZIA MGOGORO WA MALAWI NA TANZANIA KUHUSU ZIWA NYASA WAKATI AKILIHUTUBIA TAIFA.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Sunday, September 02, 2012
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA