Asili Yetu © All rights reserved
Mwandishi wa habari wa Channel ten mkoani Iringa Daudi Mwangosi amefariki dunia katika vurugu zilizojitokeza baada ya polisi kuzuia uzinduzi wa tawi la chama cha demokrasi ma maendeleo chadema katika kijiji cha Nyororo wilayani Mufindi mkoani Iringa.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA