Asili Yetu © All rights reserved
Serikali katika wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, imeweka kituo cha forodha na ukaguzi katika mpaka wa Tanzania na Burundi katika kijiji cha Mkarazi tarafa ya Mabamba kutokana na wafanyabiashara kukwepa kodi, wageni kuingia bila udhibiti na kushamiri kwa biasharara ya silaha kutokana na udhibiti mdogo katika eneo hilo.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA