Header Ads

Breaking News
recent

JAMBO SQUAD a.k.a MAMONG'OO WAMEACHIA WIMBO MPYA.... (MPORIPORI).

Asili Yetu © All rights reserved


Na hii ni story ya mporipori,Mianzini kwenye mataa anabaki ameshangaa, Sanawari kwenye mataa anabaki ameduwaa" ndio maneno ya Jambo Squad katika wimbo wao mpya wa "Mporipori" ilosukwa pande za noizmekah.com chini ya defxtro,Ikiwa ni official release yetu sambamba na Jogoo Kichaa baada ya Mamong'oo,Tunawapa gwara fans wetu wote kwa support wanayotuonesha kuchagua tracks zetu radio na clubs zote around East Africa,Much love Kwa media zinazotupa shavu.One Love

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.