Header Ads

Breaking News
recent

"EAST AFRICAN TUNES" NI HABARI NJEMA KWA WASANII, JIANDIKISHE BURE UNUFAIKE.

Asili Yetu © All rights reserved

  
East African Tunes inakupa nafasi ya kudownload nyimbo bure zikidhaminiwa kwa matangazo ya wadhamini.Msanii atakayejiunga na East African Tunes atanufaika na huduma hii kwa kulipwa kulingana na nyimbo zake zinavyozidi kudownloadiwa na watu bure kabisa.East African tunes iko kwaajili ya kusaidia wasanii wasiibiwe kazi zao bali wanufaike na muziki wao.

Asili yetu iligonga hodi katika uongozi wa East African Tune na kutaka kujua utaratubu wa wasanii jinsi ya kujiunga na mchongo huu ambao pia unawakaribisha wadhamini kujitokeza kwa wingi kwani wanayo nafasi nzuri ya kuweza kunufaika kwa kudhanimi mchongo huu.

Kama wewe ni msanii wahi mapema jiandikishe na East African Tunes ili uweze kuweka nyimbo zako au album ili uanze kulipwa famanikio yako.

Jinsi ya kujiunga na mpango huu bonyeza hapa www.eastafricantunes.com

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.