Asili Yetu © All rights reserved
AILER
Skiliza wimbo mzuri kabisha kutoka kwa mwanadada AILER kutoka Arusha akiwa memshirikisha msanii "Ghetto Grade" aliyechana miondoko ya kijamica.
AILER Ndiye msanii wa kwanza kutoka Arusha kurekodi chini ya EAST AFRICAN ITUNE.COM inayofanya kazi na wasanii mbali mbali katika kuzuia uibiwaji wa nyimbo za wasanii.
Kinachofanyika hapa unaingia www.eastafricanitune.com kama wewe ni msanii, unatengeneza account yako bure, utaweka nyimbo zako na kila wimbo wako ukidownlodiwa ambapo ni bure utapata 70% ya mauzo.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA