MTAMBO WA WATU KUBEMBEA WAGANDA FUTI 300 HEWANI HUKU UKIWA NA WATU.
Asili Yetu © All rights reserved
Huko Califonia nchini marekani nusura watu wafe kwa presha baada ya mtambo unaotumika kwa kuwapa watu raha hewani umbali wa futi 300 kushindwa kurudi chini kwa masaa manne, huku watu waliokuwa juu kubaki wakizunguka tu.
Baada ya masaa hayo yani kuanzia saa saa 10 hadi saa moja jioni, wanausalama waliweza kuurekebisha mtambo huo na kuweza kushuka chini.
Jamani hizi starehe zinatafutwa hadi umbali huo! Za chini hazitoshi? Haya ndio mambo kwasababu hata hapa Tanzania pia mtambo huu upo ila ni hatari tupu!.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA