Header Ads

Breaking News
recent

MSANII SHAKIRA - MTAALAMU WA KUCHEZA NA NYONGA AMEWEKA WAZI KUWA NI MJAMZITO KWA SASA.

Asili Yetu © All rights reserved

 Mkali wa "hips don't lie" anayechukua nafasi ya Christina Aguilela amemaliza tetesi za muda merefu kuwa ni mjamzito.Mwanadada huyo amekiri kuwa ni mjamzito kwa mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Barcelona "Gerard Pique" ambae pia ni mchumba wake.

Waili hawa walianza kuwa katika mahusiano ya kimapenzi tokea mwezi march mwaka jana japokuwa ilikuwa ni siri ya wawili hawa, wakati wakiulizwa ulizwa na vyombo vya habari.

Mahusiano haya yalianza kuchapuka mara baada ya mwanadada Shakira kumwagana na "Antonio de la Rua" mtoto wa rais wazamani wa italy.

Mara ya kwanza kwa mchezaji huyo wa Barcelona kukutana na mtaalamu wa kukata kiuno Shakira ilikuwa mwaka 2010 karibu kabisa na uzinduzi wa kombe la dunia llofanyika Africa ambapo mwanadada Shakira ndiye aliyeimba wimbo wa "Waka Waka". Ambapo pia ni mwaka sawa na ambao timu ya Uspania ilipochukua umaarufu mkubwa. Tokea hapo mwanadada Shakira alijiweka kwa jamaa huyo wa Barcelona mpaka sasa ni mjamzito.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.