JUSTIN TIMBERLAKE AFUNGUKA KUHUSIANA NA KUKAA KWA MUDA MREFU BILA KUACHIA ALBUM.
Asili Yetu © All rights reserved
Nyota wa kucheza na sauti kipenzi cha watu kibao Justin Timberlake, amefunguka wazi kuwa hanaharaka yoyote ya kuachia album kama mashabiki wake wanavyodhani.
Nyota huyo ambaye anatoka na mwanadada mcheza filamu Jessica amekaa muda mrefu bila kuachia album yoyote ya muziki tokea miaka ya 2006 alipoachia album yake ya mwisho iliyokwenda kwa jina la Future Sex / Love Sound, iliyochukua tuzo ya Grammy kama wimbo uliobamba kwa mwaka mzima, huku ukiuza kopy milioni nne kwa marekani tu.
Justin Timberlake amesema yeye si kama wasanii wa sikuhizi wanaoachia kila wakati album na single, alimaliza kwa kusema.."For me, personally, when I do sit down and decide to do it, it's just a special thing,". Ukweli ndio huo kwamba hakurupuki tuu katika maamzi yake, akifanya maamuzi niyakitu maalum.
![]() |
| JUSTIN |
![]() |
| TIMBERLAKE |



No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA