ASILI YETU BLOG: MAADHIMISHO YA MIAKA 17 YA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU YAFANYIKA ARUSHA.
Asili Yetu © All rights reserved
![]() |
| WANASHERIA, MAWAKILI NA WAFANYAKAZI |
Wanasheria, mawakili na wafanyakazi wa kituo cha haki za
binadamu wakiongozwa na jaji Aisha Nyerere wakiwa katika maandamano ya
kuadhimisha miaka 17 ya kuanzishwa kwa kituo cha sheria na haki za binadamu.
Maadhimisho hayo yaliyobebwa na kauli mbiu isemayo "kuwalinda na kuwatetea watetezi wa
haki za binadamu Tanzania ni wajibu wetu sisi",maadhimisho yamefanyikia mjini
arusha.
![]() |


No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA