ASILI YETU BLOG: TIGO MAMA AFRIKA SARAKASI YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM.
Asili Yetu © All rights reserved
| Wanaserekasi |
Wanaserekasi wakionyesha umahiri wao katika ufunguzi wa maonyesho ya Tigo Mama AfriKa sarakasi
yanayoendelea katika ukumbi wa ukumbi wa Mancom ndani ya Centre New World
Cinema Mwenge. Maonyesho hayo yanaendelea mpaka ifikapo Oktoba 4, 2012.
Jamaa naweza kumuita mtaalamu wa balance au stamiana
| Wanaserekasi wakionyesha show ya ukweli. |
| Wadada warembo wakionyesha utaalamu wa kucheza na vyungu miguuni. |
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA