Asili Yetu © All rights reserved
Zaidi ya kaya saba katika kijiji cha Naan wilayani Ngorongoro hazina mahali pa kuishi baada ya maboma yao kuteketezwa kwa moto na wavamizi wa kabila la Wasonjo wanaoishi kijiji cha jirani waliovamia na kuiba ng'ombe na mbuzi zaidi ya elfu moja na mia tano na kuwajeruhi baadhi ya wakazi kwa risasi.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA