Asili Yetu © All rights reserved
Rais Jakaya Kikwete amewataka watanzania kushiriki kwa wingi kuhesabiwa katika zoezi la sensa ya watu na makazi ili kufanikisha malengo ya serikali ya kupanga maendeleo kulingana na idadi ya watu waliopo. Akilihutubia taifa katika hotuba yake ya kila mwezi raisi Kikwete amewataka watanzania kuwapuuza wanaoendesha kampeni ya kususia sensa kwa kuwa hawalitakii mema taifa
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA