Header Ads

Breaking News
recent

USHER RAYMOND AMEACHIA WIMBO MPYA "DIVE" (Video)

Asili Yetu © All rights reserved

 Usher Raymond akiwa bado katika majonzi ya kuondokewa na mwanae wa kiume, amezidi kuitangaza album yake mpya ya "Looking 4 Myself" kwa kuachia single mpya ya "Dive" ambayo imeambatana na video ya wimbo huo.

Katika album hiyo ya "Looking 4 Myself" iliyoachiwa chini ya RCA records, kuna nyimbo 14 pamoja na bonus track 4. Watu walioshiriki kuandaa album hiyo ni pamona na Salaam Remi, Diplo na Jim Jonsin, huku wimbo wa "Dive" ambao ni sigle ya pili ya album hii kushika namba 17 katika chati za Billboard Hot 100.

Usher ameonekana akitwitti ujumbe huu..........
"We determine our destination, what kind of road we will take, and how happy we are when we arrive.. Take that #Dive?" he hyped up the video premiere on Twitter. "Gratitude makes sense of our past, brings peace for today, and creates a vision for tomorrow.. Take the #Dive with me." 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.