Asili Yetu © All rights reserved
![]() |
| RIHANNA |
Rihanna amefurahishwa na kitendo cha MTV Video Music Awards 2012 kumpa nafasi ya kupanda stejini na mastaa kibao kama Taylor Swift, Alicia Keys, Pink, Green Day na wengine kibao.
Kwa mujibu wa ratiba za MTV siku ya Alhamisi, septemba 6, 2012, MTV Video Music Awards itaruka live ambapo muigizaji wa komedi "Kevin Hart" aliyeanza kuwika katika TV tokea mwaka 2009, ndiye atakuwa Master of Ceremony (MC).
Rihanna ameonekana akiwa ameandika katika mtandao wa twitter "P***K YES I WILLLL!!! JUST FOR MY NAVY!!!!" kitu kilichosababisha msululu wa jumbe mbali mbali kumuhusu yeye. Rihanna anagombania nafasi ya "wimbo bora wa video kwa msanii wa kike na wimbo bora wa mwaka.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA