Header Ads

Breaking News
recent

We Are Never Ever Getting Back Together - Wimbo Mpya Wa Taylor Swift Ulioshika Namba 1 Kenye I Tune.


                                                               TAYLOR SWIFT.

Ni masaa machache  tu tokea mwanadada mahiri kabisa wa muziki wa country 'Taylor Swift' kuachia audio single mpya inayokwenda kwa jina la "we are never ever getting back together" ikiwa ni masaa machache pia baada ya video ya wimbo huo kuachiwa 'You tube' kama utambushirisho wa album inayofuata inayoitwa "Red". Mwanadada huyu mkali wa nyimbo zenye kutia moyo katika maisha ameshika namba moja katika i tune na wimbo wake huu mpya.

Wimbo huu unaoashiria Taylor kuachana na mpenzi wake,ambae amemficha jina japokuwa amedokeza tu kuwa x boyfriend huyo ni mwanamuziki kama yeye."We are never ever getting back together" umepikwa na mikono ya 'powerhouse musicmaker Max Martin" akishirikiana na "Catchy Hook".

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.