All rights reserved to Asili Yetu.
Judith Wambura Habash aka Lady Jay Dee, mkongwe katika game hili la bongo na bado anaendelea kupendeza kama ndio anaanza muziki. Baadhi ya tuzo kuanzia kushoto ile ya kwanza siijui ila ile inayofuatia ni kutoka Kenya, zile tuzo 4 za kioo ni kutoka Uganda, hizo 3 hapo ni kutoka South Africa, baada ya hapo hesabu tuzo 6 zinazofuatia hizo zote ni za Kilimanjaro, inayofuatia ni tuzo ya BBC na nyingine kibao.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA