All rights reserved to Asili Yetu.
Ingawa ni siku chache Peter na Paul Okoye wamekuwa katika hali ya majonzi kwa kumpoteza mama yao mzazi Josephine Okoye aliyezikwa August 2 mwaka huu, P-square wamejipanga kuangusha show August 31/2012 katika ukumbi wa Harare International Conference Centre huko Harare nchini ZIMBABWE. Lakini siku mbili kabla ya kuangusha show nchini Zimbabwe, wataperform live "HMV Apollo Hammer smith London Uingereza.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA