Asili Yetu © All rights reserved
Hivi jamani mbona tunakiuka ubinadamu wetu na kujipatia mateso kama haya? Hivi kuna raha gani ya kuishi kama hujihesabu kama wewe ni binadamu na sio mnyama? Yote tisa kumi ni ukoloni ndio uliyopelekea haya yote kuwa kama yalivyo.Hata hivyo haitoshi yapo baadhi ya makabila Afrika hutumia nafasi hii kufanya kuwa ni sehemu ya kuvutia watalii, hivyo kujiingizia pesa.
Zamani watu walijichanja mwili mzima na kujitoboa toboa ili wasipelekwe utumwani. Haya na leo je?. Swagga, tattoo, vipini kwenye ulimi, kanga moko na mitindo huru kibao na ukijidai unajua, ofcoz utaambiwa "mind your business".

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA