All rights reserved to Asili Yetu.
Wanadada wawili mashuhuri katika mchezo wa tennis Venus na Serena Williams wametetea mataji yao mawili waliyoshinda katika michezo ya Olympiki ya Beijing miaka miine iliyopita kwa ushindi wa seti 6-4 6-4 dhidi ya Andrea Hlavackova na Lucie Hradecka wa Jamhuri ya Chek katika mshindano ya Olympic yanayoendelea jijini London Uingereza.
Ushindi huu unamaanisha kuwa Wamarekani hawa wanakuwa ndio wachezaji wa kwanza katika mchezo wa tennis katika historia ya michezo ya Olympic kuwahi kushinda medali katika mashindano matatu tofauti.Walifanikiwa kushinda medali katika michezo hiyo ilipofanyika katika miji ya Sydney Australia, Beijing Uchina, na sasa London nchini Uingereza.
Gold medalists Serena Williams of the United States and Venus Williams of the United States (C), silver medalists Lucie Hradecka of Czech Republic and Andrea Hlavackova of Czech Republic and bronze medalists Maria Kirilenko of Russia and Nadia Petrova of Russia during the medal ceremony for the Women's Doubles Tennis on Day 9 of the London 2012 Olympic Games at the All England Lawn Tennis and Croquet Club on August 5, 2012 in London, England.
![]() |
| SERENA NA DADA YAKE VENUS WAKISHANGILIA BAADA YA USHINDI. |




No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA