All rights reserved to Asili Yetu.
Tiki kutoka Ethiopia ameshika nafasi ya kwanza 2:23:07 katika mashindano ya Olympic kwa wanawake, akifuatiwa na JEPTOO Priscah 2:23:12 kutoka Kenya, huku nafasi ya tatu ikishikwa na PETROVA ARKHIPOVA Tatyana (S) 2:23:29.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA