Tuesday, June 10 2025

Header Ads

RICK ROSS AMEACHIA VIDEO YENYE UTATA "HOLD ME BACK".

All rights reserved to Asili Yetu.

 Video hii ya msanii wa hip hop wa Marekani Ricck Ross ameachia video yenye utata, ambapo vyombo vya habari nchini humo vimeripoti huenda ikatupiliwa mbali na BET.
Video hii ya ‘Hold me back’ iliachiwa kwenye  website YouTube mwezi July 29, 2012  na chakushangaza imefikisha watu 158,000 walioifungua, huku walio like ni 2,357 na pia ambao hawakuipenda ni 328 .

Angalia mwenyewe hapa nchini.

Leave a Comment

Powered by Blogger.