Header Ads

Breaking News
recent

MSANII KAKII KUTOKA NAIROBI KENYA ATUA ARUSHA TANZANIA NA KUACHIA TRACK MPYA YA "Faded Away"..

All rights reserved to Asili Yetu.


 Mwanadada Kakii toka +254 ak..a Kenya pande za Nairobi city, atua ndani ya TZ-A City kikazi na hapa anarelease RnB track aliorecord noizmekah.com ambayo ameipa jina "Faded away"..My Arusha visit was wonderful i really enjoye the scenery and tha studio time too. Kiukweli Tanzania is a lovely place to be,i'e worked on three songs and this slow is my first release kwa fans wangu East Africa yote" Pia amefanya kushirikishwa katika pini la MoPlus-juhudi na hata katika "Pole" ya Mecca cheka" waloimba "cheka ung'atwe"..enjoy.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.