All rights reserved to Asili Yetu.
| JCB- KICHWA CHA WATENGWA AKIWA NA MWANAE ALBERT JCB (MAKALA) WIKI HII A TOWN. |
Ukizungumzia muziki wa Arusha basi hutasita kuzungumzia kundi zima la WATENGWA na iconi zao kama JCB, CHINDO na washikaji kibao ambao wanatema rhymes kali kama moto. Kikosi cha WATENGWA kimesha jipanga sawia kabisa kuachia madini/ Album mapya ya FULL ILE LAANA VOLUME. 2 baada yakuwa wametesa na Full Ile Laana Vol.1. MATHEW BRUNO (Mtu wa karibu sana na Watengwa) amefunguka kuwa Album hiyo imefanyika baada ya kikosi cha kufanya ziara ya "WATENGWA 2 FRENCE Musical Safari" iliyosababishwa na MATAYO BRUNO. Album hiyo ya FULL ILE LAANA ITAKUWA Ni documentary ya Audio na Video.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA