Asili Yetu © All rights reserved
 |
| David akiwa katika moja ya week end zake safi, huku akijiachia na pamba safi kabisa za 'Asili Yetu'. |
 |
| Sikuzote muonekano hutengenezwa na muonekanaji, na huu ndio muonekano wa kijana mtanashati anayekwenda kwa jina la David kutoka Arusha, ambae kulingana na yeye mwenyewe alivyoidokezea 'asili yetu' kuwa ni muda mchache tu umebaki atamchukua mtoto wa kike kama mke wake wa ndoa. |
Huu ndio mpango mzima kutoka pande za Arusha kwa leo, kama uko fresh pande hizo unaweza kuagiza pia T shirt za
"Asili Yetu"
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA