Asili Yetu © All rights reserved
Sakata la kutafuta mshindi katika shindano la Dance 100% 100% limekamilika leo pale Leaders Club Kinondoni baada ya kundi la T - AFRICA kuonyesha umahiri wao katika fani ya kucheza, hivyo kunyakua kitita cha shilingi milioni 5,000,000/= za kitanzania.
Baadhi ya makundi yaliyoingia fainali ni pamoja na Best Friends, FBI, The Chocolate, T- Queens na T- Africa. Hata hivyo maoni ya wadau mbali mbali hayakusita kuonekana katika mitandao ya kijamii....Wengine waliomba next time wapewe nafasi ya kuwapigia kura washiriki wa Dance 100% 100%....Mara ooooh! Best Friends.....
Majaji wa D 100% 100%













No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA