All rights reserved to Asili Yetu.
![]() |
| CHRIS BROWN NA DRAKE |
Ugomvi huo wa mastaa wawili Chris Brown na Drake umechukua sura mpya baada ya watu waliyodhurika kwa ugomvi huo, kufunguka kuwa huo ulikuwa ni ugomvi wa watu wajinga kupigania mwanamke.Malalamiko hayo yametoka kwa mwanadada Hollie C (24) mtalii kutoka Australia baada ya kushonwa nyuzi 16 katika majeraha ambayo alitandikwa na chupa kichwani katika ugomvi huo.
Polisi imemuhoji Chris Brown kama shahidi na sio mtuhumiwa, huku chanzo kimezidi kufunguka kuwa, kwa upande wa Drake polisi imefanya mahojiano na msemaji wa Drake japokuwa tamko kutoka pilisi bado halijatamkwa.
Ugomvi huo ulianza kitambo ambapo Chris walipomwagana kimapenzi na Rihanna na nafasi hiyo kuinyakua raper Drake. Wamekuwa wakirushiana maneno wakati huo woote hadi walipofikia kutupiana chupa kama mvua ya masika.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA