All rights reserved to Asili Yetu.
MIRRYCANDLE
Mwanadada MirryCandle toka ChugaTown Arusha sasa anarelease brand new single yake ya "Mapigo Ya Moyo" ambayo ni ya mahadhi ya afrofusion iliotengenezewa pande za noizmekah.com.Ikiwa ni love joint izungumziayo hisia za mwanadada akiwa ameuvaa uhusika wa secret admirer.Ukimya nauvunja kwa kuahidi fans wangu mfululizo wa ngoma kali mfululizo,video yangu ya candlelight pamoja na audio yake,otherwise much respect kwa wadau wote nchini katika media na majumbani,Pamoja sana.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA