All rights reserved to Asili Yetu.
![]() |
| Steve Carell aliyeigiza kama Dodge na Keira Knightley akiigiza kama Penny. |
Hii ni movie mpya ya Comedy "Seeking a Friend For The End Of The World (2012)" ambayo itamwagika sokoni June 22.2012.Movie hii imeongozwa na director Lorene Scafaria huku staring wakiwa ni Steve Carell aliyeigiza kama Dodge na Keira Knightley akiigiza kama Penny.
![]() |
| Hapa ni sehemu mojawapo katika movie hiyo. |
![]() |
| Sehemu ya movie. |



No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA