Header Ads

Breaking News
recent

MOVIE MPYA ILIYOWASHIRIKISHA MASTAA WENGI WA MUZIKI WA RAP (SOMETHING FROM NOTHING: THE ART OF RAP)

All rights reserved to Asili Yetu.


THE ART OF RAP...Wallpaper.
Hii ni movie mpyaaaaa iliyobeba mastaa wa muziki wa rap kibaooo pamoja na vinala wa filam kama Ice Cube.Movie hii ya "Something From Nothing: The Art Of Rap" imeachiwa June 15.2012 huku ikiongozwa na director Ice T ambaye pia ametupia swagga katika movie hiyo.Washiriki wa movie hiyo ni pamoja na Dr. Dre, Emminem, Nas, Kanye west na raper kibao.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.