All rights reserved to Asili Yetu.
![]() |
| RIHANNA & OPRAH WINFREY |
Malikia wazamani katika kipindi cha "Oprah Talk Show" Oprah Winfrey, amethibitisha kukaa chini na mwanadada Rihana katika ukurasa wa kipindi chake cha Tv kinachofuata mwezi wa August. Sii mara ya kwanza kwa msanii Rihanna kufanya mahojiano katika kipindi cha "Day Talk Show, bali mwaka 2010 alifanyiwa mahojiano katika kipindi hicho ambapo Rihanna alikuwa akiwakilisha na wimbo "Edemption Song" wa mfalme wa Rage "Bob Marley" katika maafa ya Haiti.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA