Header Ads

Breaking News
recent

KELLY ROWLAND ASHEREHEKEA VEGAS MAGAZINE COVER.

KELLY ROWLAND
Mwana muziki Kelly Rowland kutoka katika kundi lililo wika sana wakati ule maaruka kama "Destiny Child" amesherehekea na wenzake huko Sin City katika sherehe ya tisa ya VEGA MAGAZINE ambapo mwanadada huyo alipiga shoo huku picha yake ikiwa juu ya gazeti hilo (Vegas Magazine Cover).
Diva huyo wa R&B Kelly Rowland amekuwa studio akipika album yake ya nne ambayo ameidedicate kwa wanawake wenzake. "Naitengeneza album hii kwaajili ya wanawake wenzangu oh, yes na iko tait sana" alisema.



No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.