Header Ads

Breaking News
recent

JUSTIN BIEBER AMEACHIA SAMPLE YA ALBUM YAKE MPYA YA "BELIEVE".

All rights reserved to Asili Yetu.



 Huyu ndiye Justin Bieber, yapata wiki moja tangu aachie  studio album yake ya tatu, inayokwenda kwa jina la "BELIVE".Bieber ameachia leo vijisehemu vya nyimbo zake zilizoko ndani ya album mpya katika mtandao wa internet. Justin amekuwa akiachia wimbo mmoja mmoja katika mitandao mbali mbali ya kijamii kama Tweeter.

Ngoma inayokwenda kwa jina la "As Long As You Love Me" aliyomshirikisha "Big Sean" ataiachia official katika mtandao wa internet june 19. Wakati huo baadhi ya ngoma zake amezitupia leo katika iTune.

Album hiyo ya "Believe" wameshirikishwa wanamuziki kibao kama Ludacris, Drake, Nick Minaj, Big Sean  n.k. Huku jamaa akiwa amejishindia tuzo mbali mbali kama ya Billboard akiwa ndiye msanii anayeongoza kuwa na mashabiki wengi duniani katika mitandao ya kijamii kama vile Facebook na Twiter.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.