All rights reserved to Asili Yetu.
![]() |
CONTAGIOUS B - BOYS KUTOKA A - TOWN |
![]() |
KUNDI LA CONTAGIOUS WAKIWA KATIKA BIG PAUSE. |
![]() |
CONTAGIOUS DANCERS |
Contagious B-Boys a.k.a A-CITY BOYS; Kundi la dancers mahiri from ChugaTown ambao pia wanaimba music, wanadrop brand new ragga dancehall track ijulikanayo kama "More Than". Hii ni kazi ya kwanza tangu turudi kutoka Ghana kwenye mashindano ya kudance!. Humu ndani katika hii track amezungumziwa manzi mkali anaesumbua jiji na tumerocord audio hii kwa defxtro hapa hapa chugatown".
Contagious wenye maskani yao pande za arachuga wamekua bize zaidi wakijifua mashairi vilivyo na sauti kwaajili ya kumudu music game. Waburudishaji hawa pia wameahidi kung'ara zaidi katika medani ya kuvunja majoka a.k.a.Breakdancing kwa vile team yao sasa imeongezeka dancers wapya na vile vile mazoezi yanakwenda kiubunifu zaidi. Shukrani milioni nane ziende kwa mafans wetu na wadau wote katika media ndani na nje ya bongo pamoja na dunia nzima!!!
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA