Header Ads

Breaking News
recent

'HUYU SHORY'..NI NGOMA MPYA KUTOKA KWA B-MAN PAMOJA NA ARTIST KIBAO

All rights reserved to Asili Yetu.




Bman, yule yule wa "Bonge la toto" enzi  ya "HOTPOT" family amewashirikisha Kc toka  FBG, mwana dada MirryCandle pamoja na Slimdizzy toka Northdwellers. Wote wakiwa ni artists toka kaskazini mwa Tanzania pande za arachuga. Collabo hii ni ya kipekee sana kwani ni ya kwanza kuwakutanisha baadhi yao kwa mara ya kwanza. Idea ya hii track niliipata tu nikiwa mishemishe za kuuza tshirt zangu mpya za "MY STYLE" kwa mtaa, Nikamchek Defxtro ambaye alinipa mwongozo zaidi katika kuisuka kuwa collabo unique zaidi na pia kuipa ladha ya dancehall vile.

Otherwise hii naitoa straight from noizmekah.com kwa fans wangu wote Tanzania na Duniani Kote. Nawapenda sana kwasababu mnaniamini...

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.