All rights reserved to Asili Yetu.
Wanadada EffectZero wanakwambia we gwan rock the scene this year coz we the best,we have faith in our management; Batoo Ent & the JamDropa deejays,our producers and most of all our fans" na hivi ndivyo inavyokuwa maana sasa wanadrop brand new joint yao kama crew.
Pini linakwenda kwa jina "Com n Gerrit" yaani njoo upate, Mamdundo kama kawaida pande za noizmekah.com kwa Defxtro na this tym around tunafikiria kurecord couple more jointz hapa na pale tukiendelea kujipanga ku-launch our singles in selected clubs around town!!!! Much love to all tha radio deejayz who bump our track,more coming yo way sooner than u think! EZ Baby!!
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA