All rights reserved to Asili Yetu.
 |
Wiz Khalifa & Amber rose |
Model aliyegeuka kuwa mwanamuziki anayefahamika kama
Amber rose, rasmi amevishwa pete ya uchumba na
Rapper Wiz Khalifa.Wiz alitangaza mpango mzima engagement kuwa
Amber amekubali kuwa mchumba wake,
"She said yes". Amber nae bila kukawia alitweet
"He has made me the Happiest Woman in this World".
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA