Header Ads

Breaking News
recent

MARIAH CAREY AMERUDI TENA STAGIN

All rights reserved to Asili Yetu.

 Mariah Carey amerudi tena stagini baada ya kuwa kimia kwa muda kadhaa hivi, akiwa maternity leave ambapo mwezi April alijifungua watoto mapacha, wakiume anaitwa Moroccan na wakike Monroe.
Diva huyu ambaye amewahi kuchukua tuzo mbali mbali zikiwemo za Gammy, alionekana kuwapagawisha mashabiki wake baada ya kuperform baadhi ya nyimbo zake katika tamasha lililo fanyika huko New York’s Gotham Hall. Miriah Carey aliwatania mashabiki wake.............
“Doesn’t it freak you out at all?”“Catch me at my real show next time.”

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.