Header Ads

Breaking News
recent

NICK MINAJI ATUMIA MASHABIKI WAKE KUTENGENEZA ALBUM COVER

All rights reserved to Asili Yetu.

 Nick Minaji hivi karibuni alikumbana na kashfa katika tuzo za muziki za Grammy kwa kumuigiza kiongozi wa kanisa Katoriki (Papa), kitendo ambacho kiliwafanya mashabiki wake waendelee kukoment vibaya katika mitandao mbali mbali ya kijamii.Katika kashfa hiyo inasemekana huenda akawa amepoteza mashabiki wengi.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.