All rights reserved to Asili Yetu.
Baba na mama "Prisca & Steven David" wa Mwanza, wanawapongeza wanao wawili tu, mapacha "Prisca na Steven" kwa kutimiza miaka saba tokea walipozaliwa hadi sasa.Wanawatakia maisha marefu na yenye baraka tere.Pia nichukuwe nafasi hii kuwapongeza kwa dhati, kutimiza umrihuo,pamoja na kuendelea kufanya vizuri shuleni, jana walifanyiwa surprise shuleni baada ya mama yao kufika na bonge la keki shuleni hapo.God bless all of you!.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA