All rights reserved to Asili Yetu.
![]() |
Wananchi wa Mirongoine na wale wa Moshono hapa Arusha wakiwa na mabango yao mbele ya ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Arusha leo wakati wa maandamano hayo. |
![]() |
Hawa ni baadhi ya waandishi wa habali waliokuwa katika tukio hilo, wakijaribu kudodosa ukweli wa mambo. |
![]() |
Hali leo Arusha katika ofisi ya Mkuu wa mkoa ndivyo ilivyokuwa. |
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA