All rights reserved to Asili Yetu.
![]() |
Nyumba mpya ya Justin Bieber |
![]() |
Justin Bieber na Selena Gomez wamezama ndani ya penzi zito huku Justin Biebe, mwenye mumri wa mika 18 na Selena, miaka 19, wamejipanga vyema kuita sehemu hii nyumbani.Justini amekanusha kumvisha pete ya uchumba Selena akisema"I'm not engaged. You know, we're still young, at this moment in time, this is where I am, that is all I can really say,", Nyumba hiyo ya kifahari ina vyumba vya kulala vitano na eneo lenye nafasi yenye futi squire 9,400 pamoja na vyumba maalum kwaajili ya familia yake na wengineo.
Pia katika eneo hilo kuna Lake Hollywood, movie theatre, bar, gym, chumba cha kufanyiwa massage na jiko la pamoja.
Justin aliyesherehekea siku yake ya kuzaliwa hivi karibuni, akitimiza miaka 18, inaesmekana mwaka 2011 aliingiza kiasi cha dola za kimarekani milioni 53, hivyo kufuatia ununuzi wa jumba ghari kiasi hicho haikuwa tabu kwake.
Unafikiri mapenzi haya ya Justin and Selena unayafananisha na wapenzi gani uliowahi kuwahamu? Acha comment yako hapo chini.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA