All rights reserved by Victor Machota.
![]() |
Hapa ni maeneo ya kuelekea Shopprite Arusha. |
![]() |
Hapa ni maeneo ya Metro pole Arusha. |
![]() |
Mdau wa Asili Yetu blog kutoka Radio 5 Arusha anaitwa Geoffrey Stiven, wakati mfupi baada ya kushuka katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro. |
![]() |
Hapa ni Kilimanjaro Internationa Airport wakati nimetua pale mida ya Asubuhi hivi. |
![]() |
Pancras Mayala a.k.a Dj Askof kutoka Mtwara, akiwa ameshine na pamba za Asili Yetu blog.Hapa alikuwa pande flani za jiji la Dar es salaam akila bata wakati wa mapumziko. |
![]() |
"Samtimber" producer wa Fnouk record ilioko Njiro Arusha, hapa nilienda kumfanyia interview kuhusiana na muziki, kwaajiri ya kipindi cha radio. |
![]() |
Sikusita kushine na camera ya "Asili Yetu blog", kwasababu mie ndo muwezeshaji mkuu.Kama unahitaji kung'aa na Asili Yetu blog, basi tuma picha yako kwenye e-mail ya swazzyking@yahoo.com. |
![]() |
Gadiola mwenye t shirt nyeusi ambae pia ni mmiliki wa blog ya "Wazalendo25" akiwa na Harry wa website ya "Arusha schools" kila mmoja akiwa busy kupublish habari katika site yake kwaajiri ya wasomaji. |
![]() |
Gadilola wa blog ya "Wazalendo25" akiwa busy katika kuwasiliana na watu wa matangazo kwaajiri ya blog yake. |