All rights reserved by Victor Machota.
![]() |
Huyu ndiye "Beverly Heels"mchumba wa msanii Mr. Flavour kutoka Nigeria. |
Mwaka huu wasanii kutoka Nigeria wameamua kuuaga ukapela kwa design flani hivi.Kwa habari zilizopo, msanii maarufu kutoka Nigeria anayefahamika kama "Chinedu Okoli" a.k.a Mr. Flavour amefumba macho kutokana na kupendwa na wadada wengi kimahusiano lakini Flavour amemvisha pete ya uchumba mwanadada ambaye pia ni mwana muziki mnigeria anayeishi Marekani anayefahamika kama Beverly Heels (a.k.a B.Heels)
Habari hizi zimethibitishwa na meneja wa msanii Flavour bwana Benjamin kuwa wawili hao wanajiandaa kuwa mke na mume soon!!